DIAMOND ASEMA YUPO TAYARI KUMPA COLLABO KIBA.

Msanii wa muziki wa bongo fleva nchini Nasib Abdul (Diamond)
amesema yupo tayari kumsaidia collabo Alikiba ili aweze kuendelea kimziki.
Akiongea kupitia xxl ya clouds fm Diamond alijibu swali alilo
ulizwa“je upo tayari kufanya collabo na kiba kutokana na tofauti zinazozungumzwa
kati yenu?’’, “kama akija kuniomba nipo tayari kumsaidia kama nimeweza kufanya
na wasanii wa nje itakuwaje nikatae kufanya na wasanii wetu wa nyumbani...nimeshasaidia
wengi so akija yoyote nipo tayari kufanya naye’’.
Alisema Dimond na kuendelea“ kiukweli mi nashafika levo
fulani hivyo ni kumtangaza mtukimataifa...’’
Diamond aliya jibu hayo ikiwa ni majibu kwa watanzania
kuhusiana na kile kinachozungumzwa kuhusu hali ya sintofahamu kati yao.
0 comments:
Post a Comment