UZINDUZI WA MWANA MAMA H MAMA NDANI YA UKUMBI WA MAISHA CLUB.
H
Mama akiimba kwa hisia wakati wa uzinduzi wa wimbo wake wa ‘Kidogo’
katika ukumbi wa Maisha Club jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.
H Mama ambaye jina lake halisi ni Flora Mvungi, ni mke wa mwanamuziki H
Baba.H Mama akifanya yake na kipenziye H Baba.
Mwanamuziki Pasha akiimba na kucheza sambamba na shabiki aliyeshindwa kuzuia mzuka wake.
Msanii wa Scorpion Girls, Isabella Mpanda, akiwakilisha jukwaani katika kusindikiza uzinduzi
Kikundi cha Madansa wakitumbuiza stejini.
Dogo Poteza akionyesha ufundi wa mchezo wa sarakasi.
0 comments:
Post a Comment