
Wasanii
wa kikundi cha Ngoma cha Manyara Group Mkoani Arusha kikiwapa
burudani wakazi wa mkoa huo waliofurika kwenye uwanja wa Sheikh Amri
Adeid mwishoni mwa wiki kushuhudia tamasha la Tigo welcome pack, Kampuni
ya Tigo imeanzisha kifurushi cha welcome pack kitakachomwezesha
mtumiaji wa Tigo kupata muda wa maongezi wa dakika 20, MB175, SMS bila
kikomo na pesa shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya Tigopesa, yote
hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo.

Wasanii
wa kikundi cha Original Komedi kikiwapa burudani wakazi wa mkoa wa
Arusha waliofurika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Adeid mwishoni mwa wiki
kushuhudia tamasha la Tigo welcome pack, Kampuni ya Tigo
imeanzisha kifurushi cha welcome pack kitakachomwezesha mtumiaji wa Tigo
kupata muda wa maongezi wa dakika 20, MB175, SMS bila kikomo na pesa
shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya Tigopesa, yote hayo kwa shilingi
1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo.

Msanii
Ibrahim Mussa Maarufu Roma Mkatoliki akiwapa burudani wakazi wa mkoa wa
Arusha waliofurika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Adeid mwishoni mwa wiki
hii ni moja ya sehemu burudani zitolewazo kwenye kampeni ya kifurushi
kipya cha Tigo cha welcome pack. Kampuni ya Tigo imeanzisha kifurushi
cha welcome pack kitakachomwezesha mtumiaji wa Tigo kupata muda wa
maongezi wa dakika 20, MB175,SMS bila kikomo na pesa shilingi mia 500
kwenye akaunti yake ya Tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja
atakaponunua laini yake ya Tigo.

Meneja
wa mauzo wa Tigo Mkoani Arusha Bw. Aidan Komba akiongea na wananchi
waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha kubwa la Tigo welcome pack uwanja
wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha mwishoni mwa wiki.

Msanii
Joseph Haule maarufu kama Professor J akiwapa raha wakazi wa mkoa wa
Arusha waliofurika kwa wingi kwenye tamasha la welcome pack uwanja wa
Sheikh Amri Adeid mwishoni mwa wiki hii ni moja ya sehemu burudani
zitolewazo kwenye kampeni ya kifurushi kipya cha Tigo cha welcome pack.

Mmoja kati ya watu waliojitokeza kwenye tamasha la welcome pack akipokea zawadi toka kwa mfanyakazi wa Tigo.
0 comments:
Post a Comment