Followers

Friday, 17 October 2014

TAZAMA LAANA HII AIBU ZA VIGODORO KUCHEZA UCHI ZAENDELEA

WAKINA MAMA WATIA AIBU WACHEZA WAKIWA UCHI.

WANAWAKE watu wazima’Miji Mama’ mwishoni mwa wiki iliyopita ilimwaga radhi hadharani eneo la Msamvu Magodolo jirani na kiwanda cha Komoa.

 Miji Mama hiyo ambayo baadhi ya wake za watu walifanya uchafu huo kwenye sherehe ya kumtoa mtoto wa rafiki yao’Arobaini’.

Wanawake hao wambao wana kikundi cha kusaidia kwenye shida na raha walifanya sindano hilo la kuvua nguo


 Akina mama wakiwa wanavua nguo huku watu wanashuhudia.

0 comments: