Proin promotions Limited ni moja kati ya kampuni kubwa sana za filamu Tanzania ambayo ni ya kwanza kuonyesha nia ya dhati katika kutetea maslahi ya tasnia ya uigizaji na wasanii kiujumla huku ikidhamiria kuzifikisha mbali filamu za hapa nyumbani.
Mwenyekiti wa Proin Group Tanzania ndugu Johnson Lukaza akizungumza machache na kuwashukuru watu wote waliohudhuria uzinduzi wa manunuzi ya filamu za kitanzania kupitia mtandao (online) hapo jana katika ukumbi wa ACP House jijini Brussel nchini Ubelgiji na kuudhuriwa na watu wa mataifa mbalimbali.Uzinduzi huo ulifanywa na balozi wa Tanzania Mheshimiwa Diodorus Kamala.

0 comments:
Post a Comment