Zanzibar International Film Festival ni tamasha kubwa la filamu nchini linalofanyika kila mwaka visiwani Zanzibar ambapo filamu za ndani na nje ya Tzee zilizofanya poa hutunukiwa tuzo.
Kuelekea kwenye msimu wa tuzo hizo zitakazofanyika mwezi wa saba, waandaaji wa ZIFF wameamua kuanzisha utaratibu mpya wa kutoa certificates kwa muvi zote zilizopata nafasi ya kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kuwania tuzo hizo kutoka hapa nchini. Na safari hii tukio hilo lililopewa jina la Mini ZIFF lilifanyika kipande cha Escape one.
0 comments:
Post a Comment