Followers

Tuesday, 2 June 2015

CAITLYN JENNER AVUNJA REKODI YA OBAMA TWEETER, TAZAMA PICHA ZAKE TANO KALI HAPA

Rekodi ya kupata followers wengi tweeter ndani ya muda mfupi ilikuwa ikishikiliwa na Rais Barack Obama kwasababu mara tu baada ya kufungua akaunti yake binafsi ya tweeter mwezi uliopita.

Caitlyn Jenner ambaye kabla ya kujibadili jinsia na kuwa mwanamke kamili kwa kila kitu alikuwa anajulikana kwa jina la Bruce Jenner ambaye ni baba wa kambo wa Kim Kardashian, ameingia kwenye rekodi ya dunia kwa kupata followers zaidi ya million moja ndani ya saa 4 tu.

Hali ipo hivyo na yawezekana ni mwanzo mzuri kibiashara katika uamuzi aliouchukua lakini si jambo la kushabikia hasa kwa tamaduni zetu za kiafrika tuwaache wafanye yanayowahusu nasi tufanye yanayotuhusu.

Hizi hapa picha tano kali za Caitlyn Jenner ambazo zinasumbua mitandao duniani..





0 comments: