huku bado tuzo za MAMA zikiendelea Diamond platnum ametajwa tena kuwania tuzo za UGANDA ENTERTAIMENT AWARDS 2015 katika kipengele cha BEST AFRICAN ACT zitakazofanyika hotel ya Munyonyo commonwealth resort jijini kampala ...september 4,2015
katika kipengele hicho Diamond amewekwa na wakali kama Wizkid,Patoranking,Tiwa Savage na Active
0 comments:
Post a Comment