Followers

Tuesday, 12 May 2015

JE! WEWE NI MWANAMITINDO? SOMA HII INAKUHUSU SANA


Mwanamitindo Flaviana Matata kwa sasa anafanya kazi pia kama Balozi wa PSPF. Kwa kushirikiana na PSPF andaa hii kitu ambayo ni kama mkombozi na fursa iliyojificha kwa wanamitindo wengi.



Kupitia kwenye mitandao yake ya kijamii ame-post ujumbe huu hapa:
"Je wewe ni mwanamitindo na ungependa kupata ushauri wa namna ya kujiendeleza hadi kuwa mwanamitindo mwenye mafanikio? PSPF inakupa nafasi ya kukutana na mimi kama Balozi wake Jumapili Mei 17 ili kupata elimu ya namna ya kufaidika na fursa zilizopo katika Mfuko huo wa Pensheni kwa maendeleo katika fani yako. Ili kuweza kushiriki tuma picha na mawasiliano yako kupitia ally@allyrehmtullah.co.tz. Mwisho wa kupokea maombi ni Ijumaa Mei 15. Wahi kwani nafasi ni chache."

Je wewe ni mwanamitindo na ungependa kupata ushauri wa namna ya kujiendeleza hadi kuwa mwanamitindo mwenye mafanikio?...
Posted by Flaviana Matata on Monday, 11 May 2015

0 comments: