Followers

Tuesday, 12 May 2015

NEW VIDEO: DREAM ~ AMECHELEWA

Director mkongwe na mwenye heshima ya kutosha hapa Bongo Adam Juma ametuzawadia hiki kichupa kutoka kwa Dream wa Vipaji Tz, ngoma iitwayo 'Amechelewa' ambayo audio yake imepigwa mikono na 'Abba process' wa Abba process touches.

Enjoy..!!

0 comments: