Followers

Tuesday, 12 May 2015

DIAMOND PLATNUMZ TENA KWENYE NGOMA MPYA NA WANAIJA.

Ni kama Nigerians wameanza kuelewa sana hivi uwezo wa Bongo Fleva kwenye market yao, hii hapa ngoma nyingine iitwayo 'Africa' kutoka kwa msanii wa Nigeria aitwaye Rundatrax feat Runtown, Teddy-A na Diamond Platnumz kutoka hapa Bongo.
Enjoy..!! 

0 comments: