
MBAZI ni kijana aliyezaliwa kwenye familia ya kimasikini mkoani
kilimanjaro, anakwenda mkoani kigoma huko anapendana na NYAMIZI binti
mkimbizi wa kinyarwanda.Anaamua kumtorosha na kurudi nae kijijini kwao,
lakini Mambo yanapozidi kuwa magumu anamua kwenda Daresalam kutafuta
maisha akimuacha NYAMIZI akiwa na Mtoto mdogo.Akiwa Daresalam anajikuta
akiishi jela na kupoteza mawasiliano na familia yake kwa miaka
mitatu.Anamaliza kifungo na kurudi kijijini na KITENDAWILI,máma yake na
Mtoto wake walishafariki na mkewe anaishi na mwanaume mwingine na tayari
ni mjamzito.
0 comments:
Post a Comment