

Msanii kutoka bongo movie Wema Sepetu,ambaye amejizolea umaarufu hasa kutokana na kazi nzuri anazo endelea kufanya katika tasnia ya filamu, hivi karibuni wema alikuwa katika matayarisho ya kazi zake za filamu ambazo tayari amezimaliza.
Wema Sepetu anatarajia kuachia filamu 10 kwa mpigo sokoni !.....Kwa
mujibu wa meneja wake yaani Martin Kadinda akizungumza na Mtanzania Wema
anatarajia kuziachia filamu zake kwa mpigo sokoni ambazo kuna mpya na
alizotengeneza siku za nyuma kidogo lakini
akashindwa kuziingiza sokoni kwa wakati kutokana na
sababu maalum ikwemo filamu ya Superstar ambayo ilidaiwa kugharimu
shilingi mil.60 hivi na zaidi.
0 comments:
Post a Comment