Followers

Wednesday, 8 July 2015

DIAMOND & MANECK WAMALIZA BIFU


Producer wa AM RECORD, Maneck na msanii wa bongo flava Nasibu Abdul 'Diamond' baada ya kutoelewana kwao kwa muda mrefu kutokana na Diamond kuacha kufanya kazi katika studio za AM RECORD kisha producer Maneck kuvujisha nyimbo za msanii huyo right now wamemaliza bifu hilo na kufanya kazi kwa pamoja tena ..

0 comments: