ASKARI WA JESHI LA KUJENGA TAIFA ATIWA PINGU KWA KUNYANYASA RAIA
Yassin Ramadhani Hamadi Askari wa jeshi la kujenga taifa mwenye namba AG
8952, akiwa amevaa nguo za kiraia huku akiwa amevaria mkanda wa jeshi
amekamatwa leo mchana eneo la kariakoo mtaa wa Agrwy na Likoma na askari
wa doria kwa kosa la kunyanyasa wananchi (raia).
Asikari huyo amekuwa akitumia wadhiwa wake kwa kuwanyang'anya mikanda ya kiraia na kuwanyanyasa wananchi.
0 comments:
Post a Comment