Asema mke mwenzie yuko vizuri.
Msanii mkubwa wa filamu nchini Tanzania Elizabeth Michael (lulu) anaonekana
kuvutiwa sana na msanii Justin Bieber kama alivyowahi kueleza huko nyuma kuwa
anampenda kweli kiasi cha kumfuatilia kwa ukaribu Selena Gomez ambaye ni
girfriend wa Bieber.
Hata hivyo Lulu ameonekana kuachia ngazi
kwa Bieber baada ya takribani miaka 4 akiwa anaugulia penzi lake moyoni
bila mafanikio !
Kama
unavyojua vituko vya Lulu haviishi, kupitia Instagram Lulu aliweka
picha ya Selena na kumsifia kuwa yupo vizuri hasa kwa uzuri na kuvaa
zaidi yake huku akimwita mke mwenzake.
Kama
unavyojua vituko vya Lulu haviishi, kupitia Instagram Lulu aliweka
picha ya Selena na kumsifia kuwa yupo vizuri hasa kwa uzuri na kuvaa
zaidi yake huku akimwita mke mwenzake. 
Elizabeth Michael ‘Lulu’,akiwa kwenye pozi.
Hata
hivyo mashabiki walimwambia Lulu kuwa Selena ni mzuri ndiyo ila
hamfikii Lulu kwa uzuri na hata kuvaa ingawa Lulu bado yupo Bongo kwani
angekuwa huko mtoni angekuwa tishio kwa Selena zaidi ya mara mbili.
“Mke
mwenzangu yuko vizuriiii mnooooooo…..Kwa kupendeza huku Nimeamua
kuachia ngazi rasmi iii ii. ….He is all yourssssss…!!!#WCW” aliandika Lulu na kuweka picha ya Selena akiwa amevaa kigauni cha rangi nyekeundu.
Ukweli
ni kuwa Selena Gomez ni maarufu zaidi ya Lulu kwasababu anajulikana
dunia nzima kutokana na nature ya entertainment industry ya Marekani
lakini kwa suala la uzuri na mvuto bado Selena na Lulu wanatoana jasho
kwa ukaribu sana na pengine Lulu kumzidi Selena.
Selena
ana utajiri mkubwa kuliko Lulu lakini kwa ambao wameona filamu za
Selena ni kuwa kwa kipaji cha acting Lulu ana kipaji kuliko Selena sema
kibongobongo ndo hivyo bado kipaji kinashindwa kutambulika dunia nzima
kutokana na sababu mbalimbali ikwemo waongozaji duni wa filamu.
Ila Lulu angekuwa Hollywood pamoja na
Selena na Justin Bieber pasingetosha hasa suala hilo la kumuwania
Bieber, kwani Lulu pia ni mtu wa drama na kujiamini kwingi kama walivyo
wawili hao toka Hollywood na pia wote watatu wapo rika moja.
0 comments:
Post a Comment