Followers

Sunday, 26 October 2014

TAZAMA HII SHUHUDIA JINSI FISI ALIVYO UAWA SINGIDA MJINI MCHANA KWEUPE.

DSC01596

Baadhi ya askari polisi wakishiriki kumtoa Fisi ambaye alikuwa amejificha ndani ya duka la mitumba mjini Singida.

DSC01597

Baadhi ya wananchi wa mji wa Singida wakishuhudia kutolewa nje Fisi aliyekuwa amejificha ndani ya duka la mitumba mjini Singida.

DSC01600

Badhi ya wananchi wa mji wa Singida,wakishiriki kumuuawa Fisi aliyevamia mji wa Singida na kusababisha hofu kubwa kwa wakazi.

DSC01604

Fisi aliyevamia Singida mjini, akiwa kwenye gari la polisi baada ya kushambuliwa na wananchi kwa silaha za jadi.(Picha na Nathaniel Limu).

DSC01605

 


0 comments: