Followers

Wednesday, 15 April 2015

SHAMSA AFUNGUKA UKWELI KUMUHUSU NAY SOMA HAPA

Bongo Movies star Shamsa Ford aliye hit sana katika film ya chausiku na kujizolea umaarufu
Shamsa pia ambae siku za hivi karibuni alikanusha waziwazi alipokuwa akihojiwa na vyombo mablimbali vya habari juu ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi wa Staa Nay wa Mitego hatimaye jana kupitia ukurasa wake mtandaoni alibandikaa picha yake pamoja na ya Nay na kuandika maneno ya kimahada yaliyosomeka
“Miss u so much my endlesslove.”
Kufuatia kuandika hivyo inaonesha ni dhahiri kuwa Anao uhusiano na Raper huyo Nay wa Mitego
Pia hivi karibuni zilisambaa picha za wawili hao wakiwa wanapigana denda wadaku wakahisi wa wili hawo wanatoka lakini Shamsa alijitokeza na kusema kuwa hao wapo kwenye project ambayo itatoka hivi karibuni na kusisitiza Nay ni binamu  yake.

0 comments: