Hizi hapa ni baadhi ya picha za tukio hilo ambalo litachukua muda mrefu kuja kusahaulika ambapo mwili wa Albert uliagwa kwenye viwanjwa vya Leaders kabla ya kusafirishwa mkoani Morogoro-Kihonda kwa ajili ya mazishi.
Mazishi yalifanyika June 6 mwaka 2013 huko Kihonda - Morogoro, mazishi yaliyohudhuriwa na wadau mbalimbali wa burudani nchini wakiwemo wasanii na maprudyuza.
0 comments:
Post a Comment