Msanii Mabeste siku ya Jumapili tarehe 10 ndani ya maisha club alifanya show iliyokusanya wasanii wengi kwa ajili ya kukusanya michango ya matibabu ya mkewe ambaye amezaa nae mtoto mmoja.
Sapoti ya nguvu kutoka kwa wasanii wa Bongo muvi na Bongo Fleva ilihusika ambapo mwisho wa siku ilikuwa kama hivi katika picha...
Credit: Dj choka
0 comments:
Post a Comment