Ni miaka miwili sasa tangu Albert Mangwair afariki dunia huko nchini
Africa Kusini, Mgwair ambaye alikuwa ni mkali wa freestyle hapa bongo
alipata matatizo huko South Africa pamoja na rafiki yake M2 the P ambapo
wote wawili walilazwa wakiwa mahututi lakini kwa bahati mbaya Ngwair
alipoteza uhai na M2 the P ndiye aliyepona licha ya kuwa katika hali
mbaya.
Kwenye ukumbi wa Maisha Club kupitia Chemba Squared na wadau kibao wa burudani walijitokeza na kuandaa Albert Mangweah Memorial Party
party hiyo iliudhuriwa na wasanii kibao kama vile; Izo Buzness, Tox
Star, Daz Baba, M2 the P, Dark Masta, Jordan & Mirror, nk
Hizi ni baadhi ya picha za kwenye Show hiyo:
Chid Benz akiwa kwenye Red Carpet
Jillah the Boy akiwa kwenye Red Carpet
M2 the P
Baadhi ya mashabikiwaliojitokeza kwenye Show
Dark Masta akiwa kwenye steji akiwafurahisha mashabiki waliojitokeza
Daz Baba akiwakumbushia mashabiki nyimbo zake za zamani
Dark Masta akiwa pamoja na Jordan & Mirror
0 comments:
Post a Comment