Ndege mnana Estelina Sanga 'Linah' amedai kuwa amempata mwanaume aliyekuwa akimtafuta kwa muda mrefu na alikuja katika maisha yakemuda aliokuwa anaumizwa kimapenzi,
"kiukweli malengo yetu ni ndoa na wala haitochukua muda mrefu Mungu akijaalia itakuwa mwakani"
ameongeza " amekuja kwangu kama mtu anayenipenda,ameona jinsi ninavyoumia kimapenzi kwa hiyo huyu amekuja kama mtu mwenye nia, ni aina ya mwanaume ambaye nilikuwa namtafuta kwa muda mrefu na hatimae amefika, sasa hivi nafurah"
linah na wille
0 comments:
Post a Comment