Followers

Saturday, 1 August 2015

NAOMI CAMPBELL KIFUNGO MIEZI SITA

Mwanamitindo maarufu duniani Naomi Campbell amepatikana na hatia ya kumpiga mpigapicha Gaetano Di Giovanni.


Naomi alimpiga mpigapicha huyo na mkoba wake sehemu ya jichoni baada ya kuwapiga picha akiwa na aliyekuwa boyfriend wake .....Naomi amehukumiwa na Sialian Court kifungo cha miezi 6 ijumaa july 31.

0 comments: