Followers

Saturday, 1 August 2015

NIMEFANYA COLLABO NA FALLY IPUPA - ALLY KIBA

Ally Saleh Kiba amedai tayari ameshafanya collabo na msanii kutoka DRC, Fally Ipupa na wakati ukifika itatoka .........


Ali Kiba ambae yupo katika mikakati ya kufanya collabo na Davido kutoka Naija ameiambia Clouds Tv kwamba muda ukifika ataiachia collabo hiyo ambayo ipo tayari

0 comments: