MSHIRIKI WA BIG BROTHER KUTOKA TANZANIA(Laveda) AKIWA BAFUNI ANAOGA.
Mshiriki wa big brother Afrika (Laveda) wiki hii yupo kikaangoni kati ya washiriki nane wanaotakiwa kutoka katika wiki hii hivyo kama watanzania wanombwa kumpigia kura kwa wingi ili aweze kuendelea kuwepo katika jumba hilo la big brother.
0 comments:
Post a Comment