Followers

Tuesday, 14 October 2014

MOTO WAUA WATATU MBAGALA.



TUKIO LA MOTO MBAGALA LASABABISHA VIFO VZA WATU WATATU .

 

 Ajali mbaya ya moto yaua watu watatu mbagala jijini Dar es salaam huku sita wakiwa na hali mbaya na kukimbizwa hospitali ya muhimbili Agosti 13,mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari kamanda wa kikosi cha usalama barabarani,naibu kamishna Mohamed Mpinga amesema kuwa Roli la mafuta lilipata ajali na kuanguka chini lakini hakuna athari yoyote ilyo tokea na badala yake madhara yalitokea mara tu baada ya watu kuenda kuiba mafuta katika gari hilo na baadae kutaka kuiba betri.

 

 Wakati huohuo Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Bw.Meck Sadick amewataka wanachi kutokuwa na tabia ya kuvamia na kuiba mali pindi ajali zinapotokea,aliya semahayo alipo watembelea majeruhi walio lazwa muhimbili pamoja na Temeke.

0 comments: