Waziri Lukuvi akimkabidhi mwanafunzi wa shule ya msingi Kipera Rahel Mwikonzi cheti cha ushiriki mzuri wa siku ya walemavu.
Mwenyekiti wa baraza la watu wenye ulemavu Prof Edward Bagandashwa.
Waziri Lukuvi akimakabidhi cheti mwanafunzi mlemavu wa shule ya sekondari ya wasichana Iringa.
Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi akiongea jambo.
Kamishina wa ustawi wa jamii Bw Dunford Makala akitoa salam zake.
Mwenyekiti
wa CCM mkoa Jesca Msambatavangu akiwa na viongozi wa chama cha
walemavu Tanzania kushoto ni makamu mwenyekiti Bi Amina Mollel na
katikati ni mwenyekiti wa baraza la watu wenye ulemavu Prof Edward
Bagandashwa.
Katibu wa chama cha Viziwi Tanzania Shaibu Juma akiwa katika ulingo wa wasanii wa ngoma kutoka kikundi cha Viziwi.
Walemavu
wakiwa katika maandamano siku ya jana wakati wa kilele cha siku ya
walemavu duniani kwa Tanzania maadhimisho hayo yamefanyika mkoa wa
Iringa.
0 comments:
Post a Comment