
Uvumi huo ulianzia mitandaoni ambapo mwanahabari wetu alipomtafuta
Jokate juzikati, aliweka plain ukaribu wake na Millard ambaye ni
mtangazaji mwenye mvuto mkubwa kwa jamii.
“Millard ni mshkaji, namkubali kutokana na uchapakazi wake, anajua
kujituma na ni mpambanaji lakini nje ya hapo hakuna cha zaidi,” alisema
Jokate
0 comments:
Post a Comment