Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu hatimaye wasanii mahiri kutoka Nigeria P.square na Icon ya Bongo Fleva nje ya Tzee kwa sasa Diamond Platnumz wameingia booth na kutengeneza mkono mmoja ambao Chibu amewashirikisha Pacha hao.
Ngoma ni kama inapewa support ya nguvu na kila upande kwa sababu kila upande kupitia akaunti zao mitandaoni wamepost picha moja yenye jumbe tofauti zenye mrengo mmoja.
Diamond aliandika hivi: Tafadhali Mkiwa Tayari naomba mnambie niiachie.... DIAMOND ft P-SQUARE
( please lemmie know when you guys ready so that i can drop it... DIAMOND ft P-SQUARE)
Tafadhali Mkiwa Tayari naomba mnambie niiachie.... DIAMOND ft P-SQUARE( please lemmie know when you guys ready so that i can drop it... DIAMOND ft P-SQUARE)
Posted by Diamond Platnumz on Saturday, 9 May 2015
Na Psquare waliandika hivi : My African people, you asked for it and it's coming to you soon.. 🎹🔊Cc @diamondplatnumz @rudeboypsquare
My African people, you asked for it and it's coming to you soon.. Cc @diamondplatnumz @rudeboypsquare
Posted by P-Square- The Official Page on Saturday, 9 May 2015
0 comments:
Post a Comment