Followers

Monday, 11 May 2015

NEW VIDEO OFFICIAL: AT ~ SIJAZOEA

Kutoka kwa mfalme wa miduara Tanzania AT mzee wa vifuu tundu, nakusogezea hii hapa video yake mpya kabisa iitwayo 'Sijazoea' huku muongozaji wa kichupa hicho ni Benjamin yule wa Mambo Jambo.

Enjoy..!!

0 comments: