Tarehe 9/5/2015 ndani ya ukumbi wa Business Park kulifanyika bonge la show iliyopewa jina la Bongo All Starz ambapo ilikuwa na lengo la kuwakutanisha jukwaa moja wasanii wa makundi mawaili yaani Bongo Fleva na Bongo Hip Hop kuonyeshana ujuzi jukwaani. Enjoy...!!
Monday, 11 May 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment