Followers

Wednesday, 6 May 2015

OFFICIAL NEW VIDEO: NATESA BY KHALIGRAPH JONES FT SULTAN


Khaligraph Jones yupo kwenye orodha ya rappers bora kumi wa Afrika yeye akiwa anashika namba kumi.



Jamaa yupo kipande ya Kenya ana uwezo mkubwa wa kutunga, kuimba na ku-rap kitu ambacho rappers wengi hawawezi kuimba lakini yeye anafanya vizuri pia. Hii hapa ngoma yake mpya iitwayo 'Natesa' audio ikiwa imefanywa na AMZ huku upande wa video Johnson Kyalo ndiye anahusika kuiongoza video hii.

Ni video mpya....Enjoy!!

0 comments: