Followers

Wednesday, 6 May 2015

NEW VIDEO | CYRILL KAMIKAZE – NIKIKUONA

Kutoka ndani ya Wakacha huyu hapa Cyrill Kamikaze ambaye amedondosha video ya ngoma yake 'Nikikuona' ambayo imeongozwa na Young Wallace ikiwa ina vionjo vya asili kabisa tofauti na Kamikaze aliyezoeleka na wengi.

Enjoy da' video...!!!

0 comments: