Kumbe sio Amber Rose pekee anayemtamani mtalaka wake wiz khalifah, bali
hata hit maker huyo wa black and yellow bado kuna vitu anaviota na
kuvimiss kutoka kwa mama Sebastian, kuna maneno kayaimba kupitia remix
ya mkwaju wa “someone else”.
Kwa mujibu wa TMZ Wiz Khalifah ameonyesha hisia zake za wazi juu ya
mzazi mwenzie, japo hajataja jina lakini maneno yanashabihiana moja kwa
moja na vile alivyovifanya kwa Amber kama vile Nyumba, Mtoto, Pesa
pamoja na muda mwingi alioutumia kujenga mahusiano yake mpaka ndoa.
“Thought I had it / All the magic, I couldn’t imagine / Then it all went
tragic / Automatically, I’m the bad one / When I was only doing us /
Gave you everything, a kid, a house and a wedding ring / Now you talking
‘bout you can do better things / How did we get this way? / How do you
entertain that bullshit? / Why do you even care what Instagram got to
say? / Now when you see me we don’t act the same / Smiling on TV, trying
to hide the pain,” Wiz amerap kwenye ngoma hiyo.
0 comments:
Post a Comment