Followers

Saturday, 23 May 2015

VIDEO: YALIYOJIRI KATIKA UTOAJI WA TUZO ZA WATU NDANI YA HYATT REGENCY HOTEL - DAR ES SALAAM

Siku ya tarehe 25.05.2015 tukio lingine la kihistoria kwenye sekta ya burudani Tzee iliwekwa pale Hyatt Regency Hotel jijini Dar es salaam.



Ishu nzima ilikuwa ni utoaji wa tuzo zilizopewa jina la 'Tuzo za watu' ambapo watu kama Salum Kikeke, Millard Ayo, Djaro Arungu, Lady Jay Dee, Wema Sepetu, Zamaradi Mketema, Ali Kiba, Hanscana, Vincent Kigosi, Ommy Dimpoz na Crew ya Mkasi Tv Show walipokea tuzo hizo.

Hizi hapa video za tukio hilo.... Enjoy!!

0 comments: