Followers

Saturday, 23 May 2015

BEHIND THE SCENE; VIDEO YA 'HAKUNAGA TENA' YA LADY QUEEN

Msanii wa kike anayekuja vizuri kwenye mziki wa bongo fleva Queen Esthon aka Lady Queen ambaye ametamba na wimbo wake wa 'Hakunaga Tena' na wimbo mwingine ambao unafanya vizuri kwa sasa  'Michepuko' ambao ameshirikiana na Asia.


Lady Queen ameshamaliza ku-shoot video yake ya Hakunaga Tena ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wake.

0 comments: