Katika wiki hii Mwanadada Avril msanii kutoka kenya alishare child's shoe on her Instagram page na kuandika caption "cute' which make people to think amenasa ujauzito..............
mkali wa song ya "Nikimuona" who is engaged na African bussinessman, amekanusha uvumi huo na kwa kusema hana ujauzito, Avril kupitia Mseto EA amesema viatu hivyo ni special for her nephew...
0 comments:
Post a Comment