Mwanadada Keisha ametangaza nia ya kugombea uongozi kwa mwaka huu 2015......Msanii huyo wa ngoma ya 'msinitenge' ameungana na wasanii wenzake kwa kutangaza nia ya kugombania ubunge na anahitaji msaada wa mali na hali kutoka kwa mashabiki wake. Katika ukurasa wake wa instagram amesema kwamba anajikubali, anajipenda na anajiamini lakini pia anagombania uhuru na amani ambayo wanastahili kuipata kutoka nchini kwetu
"Hivyo mimi kama mtanzania mwenzenu nahitaji sapoti yenu ili niweze kufika malengo yetu kwa yeyote ambaye anaupendo nasi na mimina harakati zangu anisaidie kwa chochote ambacho kitanifanikisha ninapotaka this is my tigo 0718 785045 na hii ni ni account yangu ya CRDB 2022295800 jina ni HADIJA SHABANI TAYA unaweza kuchangia humo"
0 comments:
Post a Comment