Followers

Wednesday, 8 July 2015

DIAMOND ATOA VIGEZO KWA ANAETAKA KUFANYA NAE COLLABO


Msanii Diamond Platnum ametoa kauli juu ya wale wanaotaka kufanya nae collabo kwa wasanii wa hapa Tzee.....Diamond amesema lazima aangalie hiyo na yeye itafika level zipi au umejipanga vipi



Kwa sababu hataki afanye tu nyimbo mwisho wa siku iishie ndani unaisikiliza wakati yeye ametumia muda wake kukaa na kuandika kupoteza muda studio na ukiangalia kwa mfano kama nje anakuwa anafanya collabo na wasanii tofauti tofauti coz inasaidia pia muziki wetu kutanuka kiurahisi lakini hamaanish kwamba hataki kufanya cpllabo na wasanii wa tzee yaan unavyoenda kufanya collabo lazima kuonesha qualification kufanya nae collabo............................................................................

0 comments: