Followers

Thursday, 9 July 2015

CALISAH APATA SHAVU SOUTH

Calisah amepata shavu kutoka kampuni moja ijulikanayo kama Ice Model ambayo inadeal na mamodel kutoka sehemu mbalimbali .........

 Calisah amesema kwamba yeye kupata nafasi hyo ni bahati kubwa kwake kwa sababu ataitangaza Tanzania kwenye swala zima la Umodel.............soon anatarajia kujiachia Tanzania na kwa muda atakuwa South Africa 

calisah katika pozi 

0 comments: