Followers

Friday, 10 July 2015

OKWI ASAINI MIAKA MITANO DENMARK

Mshambuliaji Emanuel Okwi amefuzu majaribio ya wiki mbili katika klabu ya sonderjyske inayoshiriki ligi kuu ya Denmark


 siku kadhaa baada ya kumaliza majaribio hayo Okwi amesaini mkataba wa miaka mitano ( 5) na leo ametambulishwa rasmi mbele ya waandish wa habari akikabidhiwa jezi no 25 
Okwi alisajiliwa na simba msimu uliopita uliopita akitokea yanga amejiunga rasmi na timu hiyo baada ya kufuzu majaribio yake

0 comments: