Msanii kutoka kwenye lebo ya Effyzzie Music, Yemi Alade amedondosha video ya pili ya wimbo wa Pose ndani ameshirikishwa Mugeez msanii kutoka Nigeria. Producer aliesimamia video hii anaitwa Paul Gambit.
Hii ni version ya pili ya wimbo huu na kama wewe ni mpenzi wa
kujifunza zile steps za kucheza ngoma za Kinigeria, Yemi Alade
amekuraisishia kazi ndani ya hii video.
Friday, 10 July 2015
VIDEO: YEMI ALADE AGAIN IN POSE AAMUA KUITOLEA KICHUPA CHA PILI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment