Followers

VIDEO: B.O.B N' MICHARAZO - KAZI KWANZA

Hatari nyingine town kutoka kwa B.O.B MICHARAZO 'kazi kwanza'

.

TZEE MODAL APATA DILI SOUTH AFRICA

Calisah amepata shavu kutoka kampuni moja ijulikanayo kama Ice Model ambayo inadeal modelling...

VIDEO: NEY WA MITEGO - SINA MUDA

Audio from Free Nation / Mr. T - Touch, Video Production : Joowzey

VIDEO: MESEN SELEKTA - SWEET LOVE

Music video by Mesen Selekta performing 'Sweet love'. Video directed by Ivan (Shine Studioz).

VIDEO: RABIT KING KAKA FT RICH MAVOKO - NJOO

Video mpya kutoka kwa Rabbit King Kaka featuring Rich Mavoko. iitwayo 'Njoo'.

Wednesday, 4 November 2015

NEW VIDEO: MABANTU FT MSAMI BABY - NIFOLLOW

TAZAMA HAPA VIDEO MPYA YA MABANTU FT MSAMI -NIFOLLOW {FOLLOW ME}DIRECTOR BY O-KEY GHETTOCHILD

Saturday, 1 August 2015

PICHA: USIKU WA MTANZANIA HALISI

Mkwandule'son fashion 2015 iliyofanyika 31 july 2015 chini ya designer Kulwa Mkwandule katika ukumbi wa MRC mikicheni


















NEW: LINAH-NO STRESS


VIDEO: MIRROR-HAPO ULIPO


NEW: HEMEDY -IMEBAKI STORY


NAOMI CAMPBELL KIFUNGO MIEZI SITA

Mwanamitindo maarufu duniani Naomi Campbell amepatikana na hatia ya kumpiga mpigapicha Gaetano Di Giovanni.

Naomi alimpiga mpigapicha huyo na mkoba wake sehemu ya jichoni baada ya kuwapiga picha akiwa na aliyekuwa boyfriend wake .....Naomi amehukumiwa na Sialian Court kifungo cha miezi 6 ijumaa july 31.

NIMEFANYA COLLABO NA FALLY IPUPA - ALLY KIBA

Ally Saleh Kiba amedai tayari ameshafanya collabo na msanii kutoka DRC, Fally Ipupa na wakati ukifika itatoka .........


Ali Kiba ambae yupo katika mikakati ya kufanya collabo na Davido kutoka Naija ameiambia Clouds Tv kwamba muda ukifika ataiachia collabo hiyo ambayo ipo tayari

Saturday, 25 July 2015

NEW VIDEO: NEDY MUSIC - DAYANA




Baada ya kuachia ngoma yake ya Nenda salama mwishoni wa mwaka jana right now Nedy music drop his official video  directed by Abas Adam under MAC MEDIA.








Thursday, 16 July 2015

LINAH APATA TULIZO LA MOYO WAKE, NDOA SOON


Ndege mnana Estelina Sanga 'Linah' amedai kuwa amempata mwanaume aliyekuwa akimtafuta kwa muda mrefu na alikuja katika maisha yakemuda aliokuwa anaumizwa kimapenzi,

 Linah amesema kwamba mwanaumealiyekuwa nae kwa sasa ni mwanaume aliyekuja kumuokoa akiwa  katika wakati mgumu kimapenzi..............

"kiukweli malengo yetu ni ndoa na wala haitochukua muda mrefu Mungu akijaalia itakuwa mwakani"
ameongeza " amekuja kwangu kama mtu anayenipenda,ameona jinsi ninavyoumia kimapenzi kwa hiyo huyu amekuja kama mtu mwenye nia, ni aina ya mwanaume ambaye nilikuwa namtafuta kwa muda mrefu na hatimae amefika, sasa hivi nafurah"
linah na wille

Wednesday, 15 July 2015

VIDEO: B.O.B & MICHARAZO - KAZI KWANZA

Hatari nyingine town kutoka kwa B.O.B MICHARAZO 'kazi kwanza'
Brand New Video By B.O.B Micharazo Artist: Mr Blue, Nyandu Tozzy, Becka Tittle, Blood Gazza, Bobby MC, Uswege master, Cotton, Ivason Producer by Marco Chali  Director by Adam Juma

VIDEO: NEY WA MITEGO - SINA MUDA

  Bado ana deni la kuachia kichupa cha Mapenzi pesa Ney aamua kuachia hii apa!!!!! Sina muda 


Audio from  Free Nation / Mr. T - Touch
Video Production : Joowzey

VIDEO: MESEN SELEKTA - SWEET LOVE



Music video by Mesen Selekta performing 'Sweet love'. Video directed by Ivan (Shine Studioz).