Followers

Friday, 17 October 2014

MULTCHOICE WAITISHA SEMINA NA WAANDISHI WA HABARI.

MULTCHOICE WAITISHA SEMINA NA WAANDISHI WA HABARI.


 

CNN wakishirikiana na multichoice wafungua semina kwa waandishi wa habari juu ya nini kifanyike ili waandishi wa habari kutoka Tanzani waweze kufanya vizuri katika tuzo za mwandishi bora wa Africa tuzo ambazo mwaka huu zitafanyika Tanzania.

Semina hiyo imefanyika leo katika hoteli ya New Africa Hoteli jijini dar es salaam.

0 comments: