MTEMVU AZINDUA OFISI UWT TEMEKE.
Mbunge
wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kulia), akisaliliana na wanachama wa
Chama cha Mapinduzi (CCM) mara alipo wasili katika Ofisi ya Kata ya
Vituka Dar es Salaam leo
Mbunge
wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (katikati), akikata utepe kuashiria
uzinduzi wa Ofisi ya wanachama wa (UWT) wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dar
es Salaam leo (kushoto ni) Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania
Kata ya Vituka Temeke Dar es Salaam na wanachama wengine .
Mtemvu na viongozi wengine wa UWT, wakishangilia baada uzinduzi wa ofisi hizo kufanyika
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu na
Diwani wa Viti Maalum wa Temeke, Mariam Mtemvu wakitia saini kwenye
vitabu vya wageni katika ofisi hizo
Mtemvu, Mariam Mtemvu na Mwenyekiti wa UWT Kata ya Vituka, Suzana Mdete wakiwapungia mikono wananchi
Baadhi ya wafuasi wa CCM wakiwa katika mkutano huo
Msaidizi Mkuu wa Mbunge wa Temeke, Ally Mehalla akitambulishwa kwa wananchi wakati wa mkutano huo.
0 comments:
Post a Comment