MSANII WA MUZIKI YP AFARIKI LEO.
Msanii YP ambaye alitamba na kundi la muziki wa kizazi kipya TMK Wanaume
Family amefariki dunia katika hospitali ya Temeke baada ya kusumbyuliwa
na maradhi ya kifua.
Kwa mujibu wa Said Fella ni kuwa taratibu za mazishi
bado kujulikana mapaka sasa ila mpaka saa saba leo tayari ndugu zake
watakuwa wameshapanga ratiba ya mazishi.
msanii YP
0 comments:
Post a Comment