Je unahisi unakipaji cha kuigiza na hujapata nafasi? Kama unacho
basi hujachelewa
Mbalamwezi Arts and Entertainment yenye makazi yake jijini
Dar es salaam wanakupa nafasi wewe kijana ambaye unakipaji cha sanaa ya maigizo kufanya
kazi pamoja nao katika utengenezaji wa filamu pamoja na tamthiliya mpya zinazo
andaliwa hivi sasa.
Ukiwa kama kijana mwenye kipaji unatakiwa kufika ulipo
ukumbi wa CCM(Ilala mtaa wa arusha Dar es salaam) ni kuanzia Ijumaa ya tarehe 14 mwezi huu au katika siku za
jumatatu, jumatano na Ijumaa hadi ifikapo tarehe 30 mwezi huu kuanzia saa nane
mchana na utapokelewa kwa ajili ya kujiunga na kundi hilo.
Usikose nafasi hii adimu itakayo timiza malengo yako ya kufanya
kazi na watu maarufu na wazoefu katika tasnia ya filamu.
Jinsi yakufika shuka katika kituo cha daladala cha Amana na utaeleekea
lilipo kanisa la Anglicana
au
Kwa maelezo zaidi tupigie simu namba: 0715-423017, 0762-820441,
0712-901247 na 0654265397.
WAHI
SASA KUPATA NAFASI HII YA PEKEE.
0 comments:
Post a Comment