Followers

Saturday, 9 May 2015

MAJINA TOP 3 FAINALI YA TUZO ZA WATU YAMETOKA


square_with_sponsors (2)
Baada ya wiki kadhaa za mpambano mkali wa kura za tuzo za watu, leo tunapenda kutangaza majina matatu katika kila kipengele yaliyoingia kwenye fainali. 

Majina hayo yamefanikiwa kuingia baada ya kuvuka michujo miwili migumu. Ni kura za mashabiki peke yake ndio zimewaingia kwenye fainali hiyo, hakuna kingine.
Fainali za tuzo za watu mwaka huu zitafanyika Ijumaa ya May 22 kwenye hoteli ya Hyatt Regency (Kilimanjaro Hotel).
Haya ndio majina yaliyoingia kwenye fainali
Mtangazaji wa redio anayependwa
D’Jaro Arungu – TBC FM – TZW1C
Maryam Kitosi – Times FM – TZW1D
Millard Ayo – Clouds FM – TZW1E

Kipindi cha redio kinachopendwa
Amplifaya – Clouds FM – TZW2B
Hatua Tatu – Times FM – TZW2C
Papaso – TBC FM – TZW2D

Mtangazaji wa runinga anayependwa
Abdallah ‘Dullah’ Ambua – EATV – TZW3A
Salama Jabir – EATV/Maisha Magic – TZW3B
Salim Kikeke – BBC Swahili – TZW3C

Kipindi cha runinga kinachopendwa
In My Shoes – EATV – TZW4B
Mkasi – EATV – TZW4C
Planet Bongo – EATV – TZW4D

Blog/Website inayopendwa
Hassbabytz.com – TZW5C
Millardayo.com – TZW5D
timesfm.co.tz – TZW5E

Muongozaji wa video anayependwa
Adam Juma – TZW6B
Hanscana – TZW6D
Nisher – TZW6E

Muongozaji wa filamu anayependwa
JB – TZW7A
Leah Mwendamsoke – TZW7B
Vincent ‘Ray’ Kigosi – TZW7D

Muigizaji wa kike wa filamu anayependwa
Jacqueline Wolper – TZW8C
Riyama Ally – TZW8D
Wema Sepetu – TZW8E

Muigizaji wa kiume wa filamu anayependwa
Hemedy PHD – TZW9A
JB – TZW9B
King Majuto – TZW9C

Mwanamuziki wa kike anayependwa TZW10
Lady Jaydee – TZW10A
Linah – TZW10B
Vanessa Mdee – TZW10E

Mwanamuziki wa kiume anayependwa
Alikiba – TZW11A
Barnaba – TZW11B
Diamond Platnumz – TZW11C

Filamu inayopendwa
Chausiku – TZW12A
Kigodoro – TZW12B
Madam – TZW12C

Video ya muziki inayopendwa
Nani kama Mama – Christian Bella f/ Ommy Dimpoz – TZW13C
Wahalade – Barnaba – TZW13D
XO – Joh Makini – TZW13E

Kupiga kura andika code ya jina ulipendalo na tuma ujumbe wa simu kwenda namba 15678 au tembelea www.tuzozetu.com

@Bongo5

0 comments: