Huyu hapa Judith Wambura Mbibo a.k.a Lady Jay Dee ameachia video ya wimbo wake 'Give Me Love' aliowashirikisha wasanii wawili wakubwa kutoka Afrika kusini ambao ni Dj Maphorisa na Mazet.
Video imeongozwa na Nicky Campos...Enjoy!!
Reach where you wanna be
0 comments:
Post a Comment