Followers

Saturday, 9 May 2015

VIDEO DOCUMENTARY YA IZZO B YA HOME SWEET HOME CONCERT ILIYOFANYIKA MBEYA


Show yake ya 'Home sweet Home' ni kama zawadi flani hivi kwa mkoa anaotokea ambao ni Mbeya huku mara zote akijivunia kuwa mzawa wa mkoa huo.


Izzo Bizness chini ya Bizness All Day(B.A.D) inakuletea Documentary ya Show ya Izzo Bizness (Home Sweet Home Concert) iliyofanyika katika ukumbi wa THE VIBE CLUB Mbeya,Tanzania tarehe 05/04/2015.Directed by Nicklass,  kwako shabiki na mpenzi wa Bongo fleva na muziki wake kiujumla documentary maalum inayozungumzia show hiyo na mengineyo.

Tukae humu...!!

0 comments: